DLS21 YANGA SC MOD ni game ambayo ipo na maudhui yote ya klabu ya YANGA SC ambayo inajumuisha maudhui ya nje, timu ya yanga sc, nembo ya yanga pamoja na wachezaji wote wa yanga sc.
Katika post hii unakwenda kujifunza mengi kuhusu hili game kuanzia jinsi game ilivyo mpaka kudownload na kuseti hii game ambapo katika hili utafungua video itakayo kupeleka moja kwa moja katika channel yangu ya AFRICAN GAMING PRO pia huko utapata maelekezo kuhusu password na mengine mengi.
MAUDHUI KATIKA HII GAME.
game hii imeundwa hususani kwa wapenzi wa klabu ya yanga sc hivyo basi mwonekano wa game hii ni kama unavyoona katika picha hapo juu pia ndani ya hii game kuna jezi za yanga sc 2020/2021.
Katika hii game utacheza ukitumia timu yako ambayo ni yanga sc ambapo utacheza na timu kutoka nje ya nchi katika ligi au madaraja tofauti tofauti.
Game hii unaipata kwa njia rahisi sana kutokana na upatikanaji wa link yake ambayo nime iupload kupitia mediafire.
Kuhusiana na password ya kufungua hii game maelekezo yapo katika zip hii ya game utakayo pakua au kudownload kutoka hapa.
PATA LINK YA KUPAKUA HII GAME HAPA
JIFUNZE KUDOWNLOAD NA KUSETI HII GAME KUPITIA VIDEO HII KATIKA CHANNEL YANGU YA AFRICAN GAMING PRO.
USISAHAU KUSUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YANGU ILI USIPITWE NA MAGAME MAKALI YA NYUMBANI HIVYO BASI SUBSCRIBE|SHARE|LIKE.