Search This Blog

Saturday, February 27, 2021

𝐃𝐋𝐒𝟐𝟏 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐒𝐂 𝐌𝐎𝐃 | 𝐏𝐚𝐤𝐮𝐚 𝐬𝐚𝐬𝐚 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐬𝐢𝐦𝐮 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐲𝐚 𝐦𝐤𝐨𝐧𝐨𝐧𝐢.

 

DLS21 SIMBA SC MOD ni game ambayo ipo na maudhui yote ya klabu ya SIMBA SC ambayo inajumuisha maudhui ya nje, timu ya simba sc, nembo ya simba pamoja na wachezaji wote wa simba sc.

Katika post hii unakwenda kujifunza mengi kuhusu hili game kuanzia jinsi game ilivyo mpaka kudownload na kuseti hii game ambapo katika hili utafungua video itakayo kupeleka moja kwa moja katika channel yangu ya AFRICAN GAMING PRO pia huko utapata maelekezo kuhusu password na mengine mengi.



 
MAUDHUI KATIKA HII GAME.

game hii imeundwa hususani kwa wapenzi wa klabu ya simba sc hivyo basi meonekano wa game hii ni kama unavyoona katika picha hapo juu pia ndani ya hii game kuna jezi za simba sc 2020/2021 ambazo nimeweka mchanganyiko katika jezi za CAF na ligi.

Katika hii game utacheza ukitumia timu yako ambayo ni simba sc ambapo utacheza na timu kutoka nje ya nchi katika ligi au madaraja tofauti tofauti.




Game hii unaipata kwa njia rahisi sana kutokana na upatikanaji wa link yake ambayo nime iupload kupitia mediafire.

Kuhusiana na password ya kufungua hii game maelekezo yapo katika zip hii ya game utakayo pakua au kudownload kutoka hapa.



LINK YA KUPAKUA HII GAME 

https://bit.ly/3xNjLip

JIFUNZE KUDOWNLOAD NA KUSETI HII GAME KUPITIA VIDEO HII KATIKA CHANNEL YANGU YA AFRICAN GAMING PRO.



USISAHAU KUSUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YANGU ILI USIPITWE NA MAGAME MAKALI YA NYUMBANI HIVYO BASI SUBSCRIBE|SHARE|LIKE.