Search This Blog

Tuesday, March 16, 2021

FTS22 LIGI KUU BARA GAME | NEW UPDATE | PAKUA SASA KATIKA SIMU YAKO YA MKONONI.

 


Karibu tena katika site yako pendwa ya AFRICAN GAMING PRO ambayo inakuletea game za Africa hususani timu za Tanzania.

Leo tena nimekuletea game moja kali sana ya FTS22 ligi kuu bara mod ambayo ni bora kuliko zote zilizo wahi pita katika site hii ya AFRICAN GAMING PRO game hii ipo na timu zote za Tanzania pamoja na zile timu kubwa Africa kwa maana ya kucheza CAF CHAMPIONS.Pia game hii ni offline yani utacheza bila uhitaji wowote wa data au MB.

pia katika game hii kuna timu ya TAIFA STARS hivyo utacheza AFCON pamoja na KOMBE LA DUNIA 2022 tazama features mpya ambazo zipo kwenye hii game ambazo zitakufurahisha.

1.MECHI ZA KIRAFIKI.

 utacheza mechi za kirafiki kwa uhuru wa kutumia timu yeyote dhidi ya yeyote bila usumbufu.

2.JEZI MPYA KWA KILA TIMU

Pia nimefanikiwa kucreate jezi zote za timu zote za  LIGI KUU BARA na TAIFA STARS na zile za CAF CHAMPIONS.



3.CAF CHAMPIONS LEAGUE

Ukiwa na hii game pia utacheza ligi ya mabingwa Africa kwa upana wa timu zote kubwa Africa kama ilivyo kawaida kwa mwaka huu 2021 timu zilizopo katika makundi zote pamoja na jezi zao utazipata ndani ya hii game.

4.LIGI KUU BARA 

Game hii pia utacheza  ligi kuu bara au VODACOM PREMIER LEAGUE ukiwa na timu zote za bongo jezi pamoja na wachezaji wa kila timu zote wapya na wazamani, pia utaangalia msimamo pamoja na wafungaji bora, watoa assist nyingi, red cards, yellow cards na fixtures.


5.TAIFA STARS

Pia timu yetu ya Taifa hatujaiacha ipo pamoja kikosi kilicho itwa sasa 2021 pia jezi mpya zilizo tangazwa sasa, Taifa Stars utaitumia katika ligi kama AFCON.

Hivyo basi huo ndo muonekano wetu mpya wa game ya FTS22.

Ambayo naimani umefurahia muonekano wake kwa maelezo zaidi pakua game hii ujionee mwenyewe.

PATA LINK YA KUPAKUA HII GAME HAPA

https://bit.ly/2U8duQl

Game Hii utaiseti kwa usaidizi wa application ya zArchiver ambayo inatumika ku extract hio link apo juu ili uweze kuseti game hii maelezo zaidi nimeyatoa katika video hii unaeza itazama kwa umakini hapa chini⏬



Mchango wako kwangu ni mkubwa sana ningependelea nikuone ukifanya walau SUBSCRIBE|LIKE|SHARE|COMMENT.

Ivyo tu ndugu subscribe channel yangu ya youtube uendelee kupata game kama hizi na DREAM LEAGUE SOCCER MODS.

AHSANTE.