FTS21 VPL ni game ya FTS ambayo ipo na timu za Tanzania na CAF champions league teams ni game ambayo ipo vizuri sana kwetu sisi watanzania na wa africa kiujumla tufurahie vitu vyetu vya kinyumbani nyumbani.
Game hii ya sasa ipo vizuri sana kuanzia kwenye upande wa usajili pamoja na jezi za kila timu zilizopo za Tanzania na CAF champions league.
Hii game inacheza katika simu za smartphone kuanzia RAM 1 GB+ pamoja na space ya kutosha hii itafanya game yako ku play ikiwa vizuri Sana.
FTS 21 VPL MOD watu wengi wamekua wakikosea kuiseti hii game kutokana na kutokua makini kuangalia video ya maelezo katika video ya youtube ambayo link ipo apa chini.
Hakikisha wakati unaseti hii game umeelewa vilivyo maelekezo niliyotoa katika video.
Link ya hii game ni link nyepesi sana kuidownload na ipo na folder tatu muhimu ndani yake ambazo ni data|obb|apk.
PATA HII GAME HAPA
Fungua hio link uweze kupakua game hii na katika kuseti hii game tazam kwa umakini hii video usisahau kusubscribe|kushare|kulike.







