DLS21 SIMBA SPORTS CLUB MOD ni game ya Dream League Soccer ambayo nimeimod kua na klabu ya SIMBA SC ambayo ndio itakua klabu yako katika hii game.
Hii ni new update ambayo nimeitoa baada ya usajili wa dirisha dogo ambapo ndani ya hii game utakutana na wachezaji kama CHIKWENDE, LOKOSA, LWANGA.
Pia hii game maudhui yake yote ni SIMBA SC kuanzia picha na muundo ki ujumla ivyo basi game hii ni spesho zaidi kwa wana simba mashabiki pamoja na wanachama pia na kwa wengine watakao penda.
Game hii nimeshare nawe kupitia link nyepesi sana ya mediafire ambayo ipo hapa chini kabisa, kua makini kuangalia maelekezo katika video yangu ya youtube ambayo pia ipo apa chini.
Pia game hii ipo na jezi zote za klabu ya simba zile za ligi kuu bara na caf champions, pamoja na wachezaji wote wa simba sports club hivyo basi naimani utafurahia game hii pia utashare kwa marafiki waweze furahia timu kubwa africa wakiwa na game hii kali sana.
LINK YA KUPAKUA HII GAME NI HII ▶
Kwa maelezo zaidi tazama hii video uweze kujua jinsi ya kudownload na kuseti game yako kirahisi sana.