Search This Blog

Thursday, December 3, 2020

DOWNLOAD DLS21 | SIMBA SPORTS CLUB MOD CAF 2021.

 

DLS21 SIMBA SPORTS CLUB MOD ni game ya DREAM LEAGUE SOCCER ambayo inahusisha timu ya SIMBA SPORTS CLUB hususani katika maudhui, jezi mpya za 2020/2021 za CAF CHAMPIONS LEAGUE, wachezaji na logo au nembo ya timu hii ya SIMBA SC.

Ndani hii game unaweza cheza mechi nyingi sana katika ligi tofauti tofauti utakazo zikuta ndani ya game hii, pia wachezaji wa simba sc wapo strong sana ambapo wote wana overall ya 100 kwa kila mchezaji ivyo naimani utawatumia vizuri kuwafunga wapinzanj wako katika game hii.

Game hii unataidownload kupitia link ambayo nimeiweka mwishoni apa chini kabisa link ake ni nyepesi sana kuidownload na pia kuseti ni rahisi sana na siri kubwa ya kufanikisha kuiseti game hii ni kuangalia maelekezi katika video ambayo nimeweka hapo mwisho kabisa pia game hii utaiseti kupitia apk ya ZArchiver ambayo utaipata katika playstore.

🎯 PATA GAME  HII HAPA

https://bit.ly/3xNjLip

🎯 Kwa maelekezo ya kuseti hii game tazama video hii katika youtube

🎦




Naimani umeipenda hii game uta share kwa rafiki na jamaa pia kwa sapoti yako usisahau kusubscribe katika youtube channel yangu.