Search This Blog

Saturday, November 28, 2020

FTS21 VPL MOD | NEW UPDATE | LIGI KUU BARA GAME.

 


Hellow! Naimani mu wazima sana mkifurahia wikiendi, hivyo basi nimekuja kukunogeshea na kagame flani ivi amaizing sana kutoka hapa AFRICAN GAMING PRO.

Ni game ya FTS21 VPL MOD yaani First touch soccer 2021 Vodacom Premier League Modification ni game ambayo utaicheza katika simu yako ya mkononi kuanzia simu yenye RAM GB 1 na ANDROID VERSION 5+ kama simu yako ipo na hizi sifa basi unaeza furahia hii game

Ndani ya game hii nimeupdate vitu kama 

  • Ui design
  • Background image
  • Usajili
  • Jezi 
  • Viwanja 
  • timu za CAF champions league
  • Timu ya taifa TANZANIA.
Hivyo basi game hii wakati huu ipo na mwonekano bora sana utakao kufurahisha ewe mpenzi wa game hii ya FTS21 VPL.

  • BAADHI YA PICHA










Kwa maelezo zaidi kuusu hii game tembelea katika channel yangu ya AFRICAN GAMING PRO katika youtube au fungua hii video▶
🎦

PATA GAME LINK HAPA

MAELEKEZO KATIKA KUISETI HII GAME TAZAMA VIDEO HII UWEZE KUJUA JINSI YA KUSETI GAME YAKO

🎯