Karibu tena mpenzi wa magame ya soccer unaependa vitu vya nyumbani, na kama ni mpya katika hii site fanya kusubscribe katika youtube channel yangu ya AFRICAN GAMING PRO ili usipitwe na kila game au post nitakayo upload.
FTS21 VPL GAME ni game ambayo nime ifanyie modification kua na ligi ya Tanzania VODACOM PREMIER LEAGUE, FA pamoja na CAF CHAMPIONS LEAGUE game ipo poa sana naimani utaipenda na kushare kwa marafiki.
Game ipo na timu 20 za Tanzania na zingine za CAF yaani timu kubwa Africa, pia game hii ipo na jezi kwa kila timu ambayo ipo humu hususani za Tanzania na CAF, logo au nembo kwa kila timu.
Game hii nimeiunda kupitia link nyepesi sana ya mediafire ambayo itakua nyepesi sana kwako wewe kuipakua, pia ZIP utakayo pakua ipo na files mbili pamoja na application.
PICHA.
Game ipo na muonekano kama huo naimani utaifurahia sana kwa maelezo zaidi tazama video ya youtube.
DOWNLOAD FTS21 LINK▶
Jinsi ya kuseti hii game tazama maelezo katika hii video🎦