Search This Blog

Wednesday, November 18, 2020

DOWNLOAD DLS21 SIMBA SPORTS CLUB MOD.wachezaji, jezi, nembo.

 


Karibu tena kwenye site yako pendwa ya AFRICAN GAMING PRO ambayo leo tena nimekuletea game kali sana ambalo naimani utalipenda sana kwa mashabiki na wapenzi wa klabu ya SIMBA SPORTS CLUB.

DREAM LEAGUE SOCCER GAME MOD SIMBA SPORTS CLUB ni game yenye mahudhui ya timu ya simba sc katika upande mzima wa mahudhui, jezi, logo, na wachezaji wa simba sc.

Kama ni mpya katika site ya AFRICAN GAMING PRO hakikisha una subscribe katika channel yangu ya youtube ili uendelee kupata game kali kama hizi.

Game hii imekua zipping ili kuilinda kutoka kwenye virus, na pia link yake ni nyepesi sana ambayo nimeiunda kupitia mediafire link.








DOWNLOAD GAME KUPITIA HII LINK

🔽🔽🔽🔽🔽🔽🔽🔽🔽🔽🔽🔽🔽

https://bit.ly/3xNjLip

TAZAMA VIDEO HII UWEZE KUJUA JINSI YA KUSETI KIRAHISI SANA 

🎦