Whatsap friends!
Leo tena nimekuletea game mpya ya YOUNG AFRICANS CLUB uweze kuicheza katika simu ako ya mkononi, naimani utafurahia sana hii game iko na vitu vingi vyenye kukufurahisha ewe mshabiki wa klabu ya yanga au MWANANCHI.
Game ni ya DREAM LEAGUE SOCCER imetengenezwa na FIRST TOUCH GAMES na imekua modded na timu YANGA SC kutoka hapa AFRICAN GAMING PRO.
Kama ni mpya katika site ya AFRICAN GAMING PRO hakikisha una subscribe katika youtube channel yangu ili usipitwe na game mpya kali kama hii ya leo.
Game ipo na jezi za yanga, wachezaji wa yanga, nembo au logo ya yanga sc, na pia game ni spesho kwaajili ya mashabiki na wapenzi wa yanga sc football club.
Game hii imekua zipping ili kuilinda kutokana na virus na pia link yake ni nyepesi sana na nimeiweka kupitia mediafire link uweze kuipakua kirahis sana.
LINK YA KUDOWNLOAD HII GAME
🔽🔽🔽🔽🔽🔽🔽🔽🔽🔽🔽🔽
TAZAMA VIDEO HII UJUE JINSI YA KUISETI GAME YAKO NA IWEZE KUKUBALI KATIKA SIMU AKO.