Search This Blog

Monday, October 19, 2020

DOWNLOAD DREAM LEAGUE SOCCER 6.13version on android phones.

 



Karibu tena katika site yako pendwa ya AFRICAN GAMING PRO ambayo leo hii nimekuletea game ya DREAM LEAGUE SOCCER 2019.na hii ni baada ya watu wengi kuclaim yakua game hii haipo playstore au appstore, kiufipi game hii ipo ila ni new update ya 2020 ambayo itakuhitaji uwe na simu yenye RAM GB2 android version 9+ iwapo kama simu ako haina vigezo hivi basi ukiingia playstore huwezi kuiona hii game kutokana na simu ako kutokizi vigezo.

Hivyo basi nimeamua kuileta game hii ya DLS2019 ambayo wengi wameikosa hivyo basi naimani leo utaipata hapa na pia nitakueleza jinsi ya kuiseti hii game mpaka iweze kucheza katika simu yako ya mkononi.

MAHITAJI

  • SIMU➡kuanzia RAM GB1 pamoja na android VERSION6.13
  • GAME DEVELOPERS➡first touch games limited
  • GAME MOD BY➡african gaming pro
  • SIZE➡340MB.









Katika hii game unaweza cheza ligi nyingi ambapo kuna ligi kama vile
  1. ACADEMY DIVISION
  2. DIVISION THREE
  3. DIVISION TWO
  4. DIVISION ONE 
  5. GLOBAL CHALLENGE CUP
  6. ELITE DIVISION
  7. JUNIOR ELITE DIVISION 
  8. ALLSTARS CUP 
  9. NA MENGINE.
Pia unaweza kucheza online na marafiki mbalimbali au na watu kutika nchi nyingi za nje.
Game hii imekua zipping ivyo basi baada ya kudownload link hii apo chini itakubidi udownload apk ya ZARCHIVER kwa ajili ya ku unzip ili uweze kuseti hii game kwa maelezo zaid jinsi ya kuseti unaweza tazama video mwisho wa hii post ujue jinsi ya kuseti.

VIDEO JINSI YA KUSETI GAME



Ivyo basi naimani utafurahia hii game katika simu ako ya mkononi pia usiache kusubscribe katika channel yangu ya youtube na kushare kwa marafiki na jamaa wengine ambao wamekosa kwa kuipata hii game playstore waweze tembelea hii site na kujipatia hii game murua

DOWNLOAD LINK

Gusa maandishi hayo mekundu kuweza kudownload game yako uweze kufurahia game.