Search This Blog

Saturday, October 10, 2020

DOWNLOAD FTS21 LIGI KUU BARA (VPL) GAME.

 

Karibu tena katika site yako pendwa ya AFRICAN GAMING PRO ambayo inakuletea game za Africa hususani timu za Tanzania.
Leo tena nimekuletea game moja kali sana ya FTS21 ligi kuu bara mod ambayo ni bora kuliko zote zilizo wahi pita katika site hii ya AFRICAN GAMING PRO game hii ipo na timu zote za Tanzania pamoja na zile timu kubwa Africa kwa maana ya kucheza CAF CHAMPIONS.Pia game hii ni offline yani utacheza bila uhitaji wowote wa data au MB.

pia katika game hii kuna timu ya TAIFA STARS hivyo utacheza AFCON pamoja na KOMBE LA DUNIA 2022 tazam features mpya ambazo zipo kwenye hii game ambazo zitakufurahisha.

1.MECHI ZA KIRAFIKI

Katika hii game utacheza mechi za kirafiki kwa uhuru wa kutumia timu yeyote dhidi ya yeyote bila usumbufu.


2.JEZI MPYA KWA KILA TIMU

Pia nimefanikiwa kucreate jezi zote za timu zote za  LIGI KUU BARA na TAIFA STARS na zile za CAF CHAMPIONS.









3.CAF CHAMPIONS LEAGUE
Ukiwa na hii game pia utacheza ligi ya mabingwa Africa kwa upana wa timu zote kubwa Africa kama ilivyo kawaida 



4.LIGI KUU BARA 
Game hii pia utacheza  ligi kuu bara au VODACOM PREMIER LEAGUE ukiwa na timu zote za bongo jezi pamoja na wachezaji watimu zote wapya na wazamani, pia utaangalia msimamo pamoja na wafungaji bora, watoa assist nyingi, red cards, yellow cards na fixtures.

5.TAIFA STARS
Pia timu yetu ya Taifa hatujaiacha ipo pamoja kikosi kilicho itwa sasa 2020 pia jezi mpya zilizo tangazwa sasa, Taifa Stars utaitumia katika ligi kama AFCON  na KOMBE LA DUNIA


Hivyo basi huo ndo muonekano wetu mpya wa game ya FTS21.
Ambayo naimani umefurahia muonekano wake kwa maelezo zaidi pakua game hii ujionee mwenyewe.

PATA LINK YA KUPAKUA HII GAME HAPA
⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬

Game Hii utaiseti kwa usaidizi wa application ya zArchiver ambayo inatumika ku extract hio link apo juu ili uweze kuseti game hii maelezo zaidi nimeyatoa katika video hii

Mchango wako kwetu ni mkubwa sana ningependelea nikuone ukifanya walau kitu kimoja kati ya hivi SUBSCRIBE,LIKE,SHARE,COMMENT.
Ivyo tu ndugu subscribe channel yangu ya youtube uendelee kupata game kama hizi na DREAM LEAGUE SOCCER.
COMMENT mapungufu au vitu ambavyo ungependelea viwepo katika new update nyingine ya hii game, SHARE kwa rafiki zako wapenzi wa magame kama wewe pia mashabiki wa mpira wa miguu.

AHSANTE.