Hlw! Natumaini yakua huu mzima, basi leo tena nimekuletea zile jezi kali za yanga na simba msimu wa 2020/2021 kwa matumizi ya Dream League Soccer na FTS.
Kama bado hujajua jinsi ya kuzitumia ili zikae kwenye game yako angalia video katika channel yangu ya african gaming pro kupitia hii link
YANGA SPORTS CLUB.
SIMBA SPORTS CLUB.