Search This Blog

Friday, September 18, 2020

DOWNLOAD DREAM LEAGUE SOCCER AZAM FC2021 MOD.

 



Habari zenu mashabiki na suppoters wa timu ya AZAM FOOTBALL CLUB natumaini mu wazima wa afya.
Dream League Soccer ni game ambayo unaweza kuicheza katika simu yako ya mkononi game hii sio official ile ya 2020 ambayo huchezwa online tu.Lakini hii ni mod ambayo imekua moded na timu pendwa Azam sports club ambayo utacheza offline yani bila data karibu nami uitazame.

Msimu mpya 2020/2021 na mambo mapya pia wengi wamekua wakiuliza kuusu mod ya azam sports club katika DREAM LEAGUE SOCCER ambayo sijawai mod kabla hivyo basi nimekuletea leo ikiwa mpa kabisa kwa upande wa jezi, usajili, pamoja logo.

Sasa basi leo hii nimekusogezea game lako pendwa kabisa lililokua na vitu vipya vilivyobadilishwa na Azam sports club katika msimu huu wa 2020/2021.

Vitu hivyo ni pamoja na mwonekano bora jezi, na usajili wa wachezaji pia.









Huo ndo muonekano mpya wa game hii jezi, usajili pia hivyo basi game hii unaweza cheza katika simu yako ya mkononi hususani simu zenye RAM GB1, na android version kuanzia 6.14.

LINK YA KUDOWNLOAD HII GAME NI HII.

http://www.mediafire.com/file/4s29hqpf0vi5b4t/AZAM+FC+MOD+BY+AFRICAN+GAMING+PRO/file

Ni link nyepesi sana haina ads zitakazo kusumbua kuipakua. 

Jinsi ya kuseti game hii nimekuandalia maelezo murua sana katika channel yangu yaAFRICAN GAMING PRO game hii pia iko na password 🔑 ili kulinda link/zip hii ivyo basi itakulazimu kutembelea katika video hii kupitia hii link

https://youtu.be/0R2byvGH0aY

Au tazama hii video.