Habari zenu wanachi mashabiki na suppoters wa timu ya YANGA SPORTS CLUB natumaini mu wazima wa afya.
Dream League Soccer ni game ambayo unaweza kuicheza katika simu yako ya mkononi game hii sio official ile ya 2020 ambayo huchezwa online tu.Lakini hii ni mod ambayo imekua moded na timu pendwa mabingwa wa kihistoria yanga sports club karibu nami uitazame.
Msimu mpya 2020/2021 na mambo mapya pia wengi wamekua wakiuliza kuusu mod mpya ya DREAM LEAGUE SOCCER kwa upande wa jezi, usajili, pamoja logo.
Sasa basi leo hii nimekusogezea game lako pendwa kabisa lililokua na vitu vipya vilivyobadilishwa na yanga sports club katika msimu huu wa 2020/2021.
Vitu hivyo ni pamoja na mwonekano bora jezi, na usajili wa wachezaji pia.
Huo ndo muonekano mpya wa game hii jezi, usajili pia hivyo basi game hii unaweza cheza katika simu yako ya mkononi hususani simu zenye RAM GB1, na android version kuanzia 6.14.
PATA LINK YA KUDOWNLOAD HII GAME HAPA
Ni link nyepesi sana haina ads zitakazo kusumbua kuipakua.
Jinsi ya kuseti game hii nimekuandalia maelezo murua sana katika channel yangu yaAFRICAN GAMING PRO game hii pia iko na password 🔑 ili kulinda link/zip hii ivyo basi itakulazimu kutembelea katika video hii kupitia hii link