Habari zenu wana msimbazi mashabiki na suppoters wa timu ya SIMBA SPORTS CLUB natumaini mu wazima wa afya.
Msimu mpya 2020/2021 na mambo mapya pia wengi wamekua wakiuliza kuusu mod mpya ya DREAM LEAGUE SOCCER kwa upande wa jezi, usajili, pamoja logo.
Sasa basi leo hii nimekusogezea game lako pendwa kabisa lililokua na vitu vipya vilivyobadilishwa na simba sports club katika msimu huu wa 2020/2021.
Vitu hivyo ni pamoja na mwonekano bora jezi, logo, na usajili wa wachezaji pia.
Huo ndo muonekano mpya wa game hii logo, jezi, usajili pia hivyo basi game hii unaweza cheza katika simu yako ya mkononi hususani simu zenye RAM GB1, na android version kuanzia 6.14.
LINK YA KUDOWNLOAD HII GAME NI HII.
Ni link nyepesi sana haina ads zitakazo kusumbua kuipakua.
Jinsi ya kuseti game hii nimekuandalia maelezo murua sana katika channel yangu yaAFRICAN GAMING PRO game hii pia iko na password 🔑 ili kulinda link/zip hii ivyo basi itakulazimu kutembelea katika video hii kupitia hii link