Search This Blog

Saturday, September 5, 2020

FTS2021|LIGI KUU BARA GAME|new update2020/2021.


 Hlw! Natumaini huu mzima wa afya ukifurahia kuanza kwa msimu wa 2020/2021 wa ligi kuu Tanzania bara, Nimekusogezea game hii ili kusudi unogeshe furaha yako.

Ni game kali sana ambayo utacheza katika simu yako ya mkononi, Game hii ambayo nimeifanyia update kutokana na uhamisho wa wachezaji msimu wa 2020/2021 pamoja na ongezeko la timu kama Ihefu, gwambina, dodoma jiji fc.



Pia game hii nimejitahidi kiasi kutengeneza baadhi ya jezi lakini baadhi sijazitengeneza kutokana na muda,jezi zilizopo mpya kabisa za 2020/2021 ni kama.







Pia bila kusahau ni game yenye option nyingi za kucheza kama vile 

Azam Federation Cup, Ligi kuu bara, Afcon Cup, mechi za kirafiki pamoja na kombe la dunia 2022 ukitumia Taifa Stars.







Bila kukuchosha sana mpenzi wa magame kutoka african gaming pro, link ya kudownload game hili ni hii

PATA GAME LINK HAPA

https://bit.ly/2U8duQl

Baada ya kudownload game hii tumia umakini wako kutazama video hii uweze kufahamu jinsi ya kudownload game lako na kuseti hakikisha hauchi process yoyote katika kuangalia maelezo jinsi ya kuseti game lako, pia muhimu kumbuka kutumia apk ya Zarchiver kwaajili ya kuextract zip yako ya game hii 

VIDEO