Search This Blog

Wednesday, July 1, 2020

DOWNLOAD JEZI KALI ZA SIMBA, YANGA KATIKA GAME YAKO YA DREAM LEAGUE PAMOJA NA FTS.

Pakua jezi za bongo uzitumie katika game yako ya DLS na FTS uweze kufurahi vitu vya nyumbani katika game yako na iwapo kama utahitaji vikosi pia vya timu husika subscribe channel yetu pia angalia post zilizi pita utapata game zetu pendwa.
Leo wacha nikupe Dream League Kits na Logos.

SIMBA SPORTS CLUB










YANGA AFRICAN SPORTS CLUB








TAIFA STARS




AZAM FC




NAMUNGO FC



MBEYA CITY


AFRICAN ALL STARS


DOWNLOAD JEZI ZA SIMBA SPORTS CLUB 2020 KITS, YANGA 2020 KITS, TAIFA STARS, NAMUNGO, MBEYA CITY JEZI ZA 2020 

KUJUA JINSI YA KUWEKA JEZI HIZI KATIKA GAME ZAKO KAMA DREAM LEAGUE NA FTS TEMBELEA VIDEO HII UWEZE KUJIFUNZA 
⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵

GUSA HAPA KUTAZAMA VIDEO