Search This Blog

Saturday, June 27, 2020

PAKUA GAME KALI YA FTS20 LIGI KUU BARA, CAF CHAMPIONS NA AFA NEW UPDATE..

Ok kama kawaida yetu hatujawai kukuangusha mdau wa magemu yetu ya soccer ndani ya timu za Africa, leo tumekuletea new update ya FTS20 ya ligi kuu bara ambayo imekuja na baadhi ya vitu vipya kama:

  • MWONEKANO WA HALI YA JUU
  • JEZI ZA CAF CHAMPIONS ZA 2020
  • TIMU 15 ZA BONGO NA JEZI ZAKE
  • TAIFA STARS NA JEZI ZAKE
  • PIA UTACHEZA LIGI KAMA: LIGI KUU BARA, AZAM CUP, LIGI YA MABINGWA, KOMBE LA DUNIA PAMOJA NA AFCON.
  • GAME DEV➡FIRST TOUCH SOCCER
  • GAME MOD➡AFRICANGAMINGPRO
  • GAME SIZE➡370MB
  • MAHITAJI➡1GBRAM 
PATA GAME KUPITIA HAPA
⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵

KUSETI GAME HII ANGALIA MAELEZO MURUA SANA YOUTUBE KWA KUPITIA HII VIDEO


PIA NIKUSIHI GAME HII IKO NA PASSWORD IVO ITAKULAZIMA KUANGALIA HIO VIDEO UONE PASSWORD ILIVYO 
UTAKAPO TEMBELEA CHANNEL YETU USISAHAU KUSUBSCRIBE PAMOJA NA KUSHARE USIPITWE NA GAME ZINAZO FUATA.