SINA MENGI SANA YA KUZUNGUMZA KUKUPOTEZEA MDA, ILA TU KAZI MPYA HII HAPA NAIMANI UTAIPENDA SANA, NI GAME BORA KUWAHI KUMOD TOKA NIMEANZA KAZI, NAIMANI PIA HUTA PATA USUMBUFU WOWOTE KAMA UTAJITOKEZA TEMBELEA YOUTUBE CHANNEL YANGU UWEZE MALIZA TATIZO LAKO.
MAELEZO YA KUSETI GAME HII YAPO KATIKA YOUTUBE CHANNEL UNAWEZA ITAZAMA KUPITIA LINK HIYO APO CHINI KABISA.
VITU VYA KUZINGATIA
1.DOWNLOAD LINK ZOTE TATU apk, obb, data
2.TEMBELEA YOUTUBE CHANNEL YANGU UJIFUNZE KUSETI GAME LAKO ULICHEZE UFURAHIE VYA NYUMBANI KWETU.
NAIMANI UTASHARE KWA WANASIMBA WENGI WAWEZE PATA HIIGAME WAFURAHI PIA
FEATURES
1.WACHEZAJI WA SIMBA WOTE2020
2.JEZI ZA SIMBA SC 2020
3.LOGO AU NEMBO YA SIMBA SC
4.THEME BORA YA CHAMPIONS SIMBA SC 2020
5.BEST GRAPHICS
DOWNLOAD GAME KUPITIA LINK HII
KUJUA JINSI hYA KUSETI GAME FUNGUA HII VIDEO UJIFUNZE.