Search This Blog

Wednesday, July 29, 2020

DOWNLOAD Dream League Soccer Yanga Sports Club, New update.


SINA MENGI SANA YA KUZUNGUMZA KUKUPOTEZEA MDA, ILA TU KAZI MPYA HII HAPA NAIMANI UTAIPENDA SANA, NI GAME BORA KUWAHI KUMOD TOKA NIMEANZA KAZI, NAIMANI PIA HUTA PATA USUMBUFU WOWOTE KAMA UTAJITOKEZA TEMBELEA YOUTUBE CHANNEL YANGU UWEZE MALIZA TATIZO LAKO.
MAELEZO YA KUSETI GAME HII YAPO KATIKA YOUTUBE CHANNEL UNAWEZA ITAZAMA KUPITIA LINK HIYO APO CHINI KABISA.

VITU VYA KUZINGATIA 

1.DOWNLOAD LINK ZOTE TATU apk, obb, data
2.TEMBELEA YOUTUBE CHANNEL YANGU UJIFUNZE KUSETI GAME LAKO ULICHEZE UFURAHIE VYA NYUMBANI KWETU.


BILA SHAKA NAIMANI UTASHARE KWA WANAYANGA WENGI WAWEZE PATA HIIGAME WAFURAHI PIA 

FEATURES

1.WACHEZAJI WA YANGA SC WOTE2020
2.JEZI ZA YANGA SC 2020
3.LOGO AU NEMBO YA YANGA SC SC
4.THEME BORA YA WACHEZAJI WA YANGA  SC 2020
5.BEST GRAPHICS



PATA GAME KUPITIA LINK HII

KWA MAELEZO JINSI YA KUSETI HII GAME PITIA KATIKA CHANNEL YANGU UJIFUNZE KUPITIA VIDEO HII.