Game hii nime mod kwaajili kikosi bora cha msimu kilicho tangazwa mnamo tarehe 7/8/2020 mlimani city na kile kikosi bora kilicho chaguliwa ndicho ambacho utakitumia katika hii game nimekuwekea ewe mdau uweze furahia vitu vya kikwetu kwetu.
GAME REQUIREMENTS
Game developers-first touch games
Game mod-african gaming pro
Game size-370MB
Game requirements-1GB phones
Game needs-data, apk, obb.
VITU ADIMU KWENYE HII GAME
1.WACHEZAJI BORA MSIMU HUU 2019/2020
Aish manula
Nico wadada
David luhende
Bakari mwamnyeto
Pascal wawa
Lucas kikoti
Clatous chama
Luis miquissone
Zawadi mauya
John bocco
Medie kagere
SUBS
David mgore
Shomari Kapombe
Feisal salum
Jonas mkude
Sureboy
Reliants lusajo.
Ok hivyo ndo vitu vilivyopo katika game hili ambavyo vita kufurahisha sana ewe mdau wa football games.pia usiwe mchoyo share kwa watu wengi au waambie wa search mtandaoni african gaming pro pamoja na youtube.
OK NISIKUCHOSHE SANA LINK ZA GAMI HII NI HIZI
APK
OBB
DATA
HAKIKISHA UMEDOWNLOAD apk, obb, data ILI GAME LAKO LIWEZE KUCHEZA INABIDI UDOWNLOAD VITU HIVYO VITATU MUHIMU.
JINSI YA KUSETI GAME LAKO HAKIKISHA UNATUMIA APK YA ZARCHIVER AMBAYO UNAWEZA IDOWNLOAD PLAYSTORE.
JINSI YA KUSETI GAME LAKO FUNGUA VIDEO AMBAYO IPO YOUTUBE KUPITIA HII LINK HAPA.