FTS 2022 LIGI KUU TANZANIA BARA MODinakuweka moyoni mwa shughuli ikiwa na mwonekano mpya na vipengele vipya kabisa! furahia uwepo wa timu za Tanzania na Africa na uende uwanjani dhidi ya ligi mbalimbali kama Ligi Kuu Tanzania Bara, Kombe La FA, Ligi Ya Mabingwa Afrika pamoja na Ligi Ya Africa (Afcon) lakini pia mechi za kirafiki! furahia kucheza ukihusisha timu ama ligi za nyumbani pamoja na timu ya Taifa (Taifa Stars) huku ukifurahia miondoko ya wachezaji, usajili wa wachezaji katika ligi kuu Tanzania bara msimu huu wa 2022, vile vile nembo na jezi za timu zote ni za msimu huu wa 2022 na mengine mengi zaidi. Mchezo mzuri haujawahi kuwa mzuri sana!