Search This Blog

Saturday, December 28, 2024

JINSI YA KUDOWNLOAD NA KUSETI YANGA SC DLS 19 PROFILE DATA MPYA 2025!!

Furahia Usajili Mpya Wa Yanga Sc 2025 Akiwemo Clatous Chama , Prince Dube , Duke Abuya Pamoja Na Othos Jean Baleke, Ivo Basi Utafurahia Kutumia Kikosi Kipya Cha Yanga Sc Msimu Huu Wa 2025 Kama Vile;

MAGOLIKIPA : Djigui Diarra39 , Aboutwalib Mshery , Aboubakar Khomeiny.

MABEKI : Yao Attouhoula21 , Bakari Nondo3 , Ibrahim Bacca4 , Dickson Job5 , Chadrack Boka23 , Nickson Kibabage , Kibwana Shomari

VIUNGO : Duke Abuya , Mudathiri Yahya27 , Clatous Chama17 , Pacome Zouzoua26 , Khalid Aucho8 , Maxi Nzengeli7 , Aboubakar  Salum18 , Jonas Mkude19 , Aziz Andabwile2 , Farid Mussa , Denis Nkane , Shekhan Hamisi.

WASHAMBULIAJI : Stephane Aziz Ki10 , Prince Dube29 , Jean Othos Baleke11 , Clement Mzize24 , Kennedy Musonda25.

Lakini Pia Huku Ukifurahi Kutumia Jezi Mpya Za Yanga Sc Upande Wa Yanga Sports Club Msimu Huu Wa 2025 Pamoja Na Nembo.