Furahia Usajili Mpya Wa Simba Sc 2025 Akiwemo Moussa Camara , Jean Charles Ahoua , Joshua Mutale , Debora Fernandez , Leonel Ateba , Ivo Basi Katika Data Hii Utafurahi Kutumia Kikosi Kipya Cha Simba Sc Msimu Huu Wa 2025 Kama Vile;
MAGOLIKIPA : Moussa Camara26 , Aishi Manula28 , Ally Salim1 , Hussein Abel30 , Ayoub Lakred40.
MABEKI : Valentin Nouma29 , Mohamed Hussein15© , Shomari Kapombe12 , Kelvin Kijili33 , Hussein Kazi16 , Fondoh Che Malone20 , Abdulrazack Hamza14 , Karaboue Chamou2.
VIUNGO : Debora Fernandez17 , Augustine Okejepha25 , Joshua Mutale7 , Mzamiru Yassin19 , Yusuph Kagoma21 , Awesu Awesu23 , Ladacki Chasambi36 , Omary Omary8 , Fabrice Ngoma6 , Salehe Karabaka16 , Jean Charles Ahoua10.
WASHAMBULIAJI : Leonel Ateba13 , Steven Mukwala11 , Kibu Denis38 , Edwin Balua37 , Valentino Mashaka27.
Lakini Pia Huku Ukifurahi Kutumia Jezi Mpya Za Simba Sc Upande Wa Simba Sports Club Msimu Huu Wa 2025.