Search This Blog

Wednesday, June 23, 2021

Pakua Game Ya DLS21 Yanga Sc Mod | Pakua Sasa Katika Simu Yako Ya Mkononi

 

DREAM LEAGUE SOCCER YANGA SC MOD yaah! Ndo jina la kipekee unaweza kutaja au kuiita hii game, ni game ambayo inacheza katika simu yako ya mkononi, nimekuandalia maelezo mepesi sana yanayo kwenda kukueleza kwa kina juu ya kudownload na kuiseti hii game iweze kucheza katika simu yako ya mkononi.
Game ya Dream League Soccer kiufupi ni game ambayo ni nyepesi kuicheza hivyo basi mtu yeyote anaweza kuicheza, na kitu kizuri zaidi ni uwepo wa timu ya YANGA SC kama timu yako utakayo itumia katika hii game, hivyo basi mod hii inawahusu sana mashabiki na wanachama wa yanga sc au yeyote atakaye ipenda kwani maudhui, wachezaji, jezi, pamoja na nembo vyote ni yanga pekee.

VIPENGELE VYA HII GAME NI KAMA VILE;

MAUDHUI game hii maudhui yake yote ni ya Yanga Sc, ambapo ni kijani na njano kama ambavyo timu hii ilivyo hivyo basi maudhui ya nje ya picha yapo hivo ambapo yakiwa yamebeba uwepo wa wachezaji wa Yanga Sc pamoja na kocha wa Yanga Sc.
JEZI NA NEMBO pia katika uwepo wa jezi na nembo vyote kwa pamoja ni vile ambavyo vinahusiana na klabu ya Yanga Sc katika msimu wa 2020/2021.


WACHEZAJI kama ambavyo kila kitu kinahusiana na klabu ya Yanga Sc hivyo basi hata wachezaji wote ni wa Yanga Sc na pia ni wale ambao wapo katika kikosi katika msimu huu wa 2020/2021.
Hivyo basi game hii inamuonekano kama huo na naimani kama ni mshabiki au mpenzi wa magame ya Dream League Soccer utakua umeipenda sana.

JE?  Nini cha kufanya ili uweze kuipata hii game katika simu yako ya mkononi, hatua ya kwanza itakubidi upakue link ambayo ipo hapa chini na hatua ya pili fungua link ya video ambayo ipo katika channel yangu ya youtube ili uweze kufahamu jinsi ya kuseti au kudownload pia utajifunza mambo mengi kupitia channel hii yahusuyo magame ya mpira wa miguu.

LINK YA KUPAKUA HII GAME

VIDEO AMBAYO IMEBEBA MAELEZO YA KUSETI NA KUDOWNLOAD HII GAME KUMBUKA KUSUBSCRIBE | KUSHARE | KULIKE VIDEO.