Search This Blog

Friday, June 25, 2021

FTS21 VPL MOD GAME | PAKUA SASA KATIKA SIMU YAKO YA MKONONI.

 

FTS22 MOD LIGI KUU BARA ni game ya kucheza katika simu za mkononi, na vifungo rahisi vya kuchezea,mwonekano mzuri, timu zote za Tanzania,  jezi na nembo za kila timu pia wachezaji wote wa kila timu wapo.

Kwenye game hii utafurahiya uwepo wa ligi ya ligi kuu bara au vodacom premier league, naimani utafurahia game hii ilo kamilika, kucheza game hii adimu kwenye simu ya android kuanzia simu zenye ukubwa wa 1GB na nafasi ya kutosha ya kucheza bila usumbufu. 

 

Game hii FTS22 Vpl mod  utacheza Ligi mbali mbali kama vile ligi kuu bara, caf champions, azam federation cup FA, kwenye game hii utacheza mechi zote za ligi hadi utwae kombe ikiwa utawashinda wapinzani  nakua na alama za juu za ligi, pia game hii inaonyesha msimamo wa wachezaji wenye assist  nyingi, wachezaji wenye magoli mengi na wachezaji walio na kadi ya manjano au nyekundu. 

 

Ligi ya Mabingwa ya (Caf Champions)

Kwenye game hii utafurahiya kucheza Ligi ya Mabingwa ya Caf na timu zote zikiwa zimepangwa kama ilivyokua msimu wa 2021 pia jezi,nembo, na wachezaji wote wa timu husika ambapo utacheza kutoka hatua ya makundi hadi hatua ya mtoano kisha robo, nusu hadi Fainali, kwa hivyo ikiwa utawashinda vizuri wapinzani wako atakuwa mshindi wa kombe.

 

AZAM FEDERATION CUP (FA)

Utafurahiya pia kucheza Kombe la FA, kwa hivyo ligi itaanza kwenye hatua ya mtoano ambapo ukipigwa hivyo umepigwa na hautaendelea na mashindano na iwapo kama ukishinda wapinzani wako utakuwa mshindi wa kombe.

Njia bora ya kucheza game hii ni Meneja Mod ambapo utacheza kama maisha halisi yanavyoenda kwenye ratiba ya game utacheza Ligi kama ligi kuu bara, Caf Champions League, pamoja na FA hivyo basi game hii ina raha nyingi ambayo itafanya ufurahiye kua nayo. 

Ikiwa wewe ni mwanachama wa website hii na haujui mengi juu ya game hii ninakusaidia na video fupi yenye maana ili ujifunze juu ya "jinsi ya kupakua na mafunzo ya kuiwezesha kucheza kwenye simu yako ya mkononi hivyo basi fanya kufungua hii link uweze kutazama hii video katika youtube 🖇.

https://youtu.be/xG22aS6XCm8

LINK YA KUPAKUA HII GAME

https://bit.ly/2U8duQl

Baada ya kutazama video yangu kamili kumbuka kusubscribe|kulike video|kushare kwa mashabiki wote wa mpira wa miguu na wale wapenzi wa game za mpira, natumahi kuwa nyinyi nyote mtafurahia game hii.


 Thanks/