Search This Blog

Monday, November 18, 2024

JINSI YA KUDOWNLOAD FTS 2025 NBC MOD MPYA LIG KUU TANZANIA BARA 2025 APK OBB DATA

FTS 2025 LIGI KUU NBC TANZANIA BARA MOD MPYA

Inakuweka Moyoni Mwa Shughuli Ikiwa Na Mwonekano Mpya Na Vipengele Vipya Kabisa Katika Msimu Huu Mpya Wa 2025, Furahia Uwepo Wa Timu Za Tanzania Na Afrika Uende Katika Mashindano Dhidi Ya Ligi Mbalimbali Kama Vile 

LIGI KUU YA NBC TANZANIA BARA PAMOJA NA KOMBE LA CRDB FA TANZANIA

Utafurahi Kucheza Ligi Hizi Ukihusisha Timu 16 Za Ligi Kuu Tanzania Bara Pamoja Na Zingine Nyingi Kutoka Ligi Ya Championship Tanzania

KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA PAMOJA NA LIGI YA MABINGWA AFRIKA 2025

Utafurahi Kucheza Ligi Hii Kwa Kuchagua Timu Yako Pendwa Upande Timu Zinazo Shiriki Ligi Hizi Katika Msimu Huu Wa 2025

LIGI YA KIMATAIFA AFRIKA (AFCON) 2025

Utapata Nafasi Ya Kuchagua Timu Ya Taifa Tanzania Kucheza Mashindano Au Ligi Ya Kimataifa Afrika Msimu Huu Wa Afcon 2025 Zikiwemo Na Timu Zingine Nyingi

LIGI YA WAKONGWE AU MALEGENDARI 

Utafurahi Kutumia Wachezaji Hodari Na Imara Wa Zamani Kidogo Walioacha Alama Katika Soka La Timu Hizi Kongwe Walizotumikia Ivo Basi Utafurahi Pia Kucheza Ligi Hii Kwa Kuchagua Timu Uipendayo

Katika Msimu Huu Wa 2025 VileVile Pia Utacheza Mechi Za Kirafiki! Ukitumia Timu Yako Pendwa Au Ulioichagua, Furahia Kucheza Ukihusisha Timu Ama Ligi Za Tanzania Na Afrika Pamoja Na Timu Ya Taifa (Taifa Stars) Huku Ukifurahia Miondoko Ya Wachezaji.

USAJILI MPYA WA WACHEZAJI KATIKA LIGI KUU TANZANIA BARA MSIMU HUU WA 2025

SIMBA SC : Awesu Awesu , Augustine Okejepha , Jean Charles Ahoua , Mousa Camara , Valentin Nouma , Kelvin Kijili , Abdurlazack Hamza , Karaboe Chamou , Debora Fernandez , Joshua Mutale , Yusuph Kagoma , Omary Omary , Steven Mukwala , Leonel Ateba , Valentino Mashaka Pamoja Na Elie Mpanzu 

YANGA SC : Jean Othos Baleke , Aboubakar Khomeny , Chadrack Boka , Yao Attohoula , Clatous Chama , Duke Abuya , Aziz Andabwile Pamoja Na Prince Dube.

AZAM FC : Jhonier Blanco , Nassor Saadun , Mamadou Samake , Cheikna Diakite , Ever Meza , Frank Tiesse Pamoja Na Yoro Diaby.

COASTAL UNION FC : Hernest Malonga , Anguti Luis , Abdallah Hassan , Ramadhan Mwenda , Mukrim Issa , 

Haroub Mohamed.

DODOMA FC : Ibrahim Ajibu ,  Waziri Junior ,  Reliants Lusajo , Disan Galiwango , Obata Hale ,  Emotan Cletus , Allain Ngeleka , Dickson Mhilu Pamoja Na Daudi Milandu.

JKT TANZANIA : John Bocco , Said Ndemla , Charles Ilamfya.

KAGERA SUGAR : Samweli Onditi , Joseph Mahundi , Obrey Chirwa , Jofrey Manyasi Pamoja Na Obrey Chirwa.

KEN GOLD : George Sangija , James Msuva , Helbert Lukindo , Hijja Ugando Pamoja Na Paul Materazi.

KMC : Salum Athuman ,  Ajoah Noel , Redemtus Mussa Pamoja Na Pascal Mussa.

MASHUJAA FC : Jafari Kibaya , Chrispin Ngushi , Ismail Mgunda , Mapinduzi Balama , Pamoja Na Ally Nassoro.

NAMUNGO FC : Medie Kagere , Moubarack Amza , Djuma Shaban , Lenny Kisu , Raphael Daud Pamoja Na Jacob Masawe.

PAMBA JIJI FC : George Mpole , Paul Kasindi ,  John Nakibinge Pamoja Na Emmanuel Boateng.

SINGIDA BLACK STARS : Emmanuel Kaykeh , Camara Damaro ,  Ande Koffi , Joseph Arthur Bada , Ibrahim Imoro ,  Najim Mussa , Pamoja Na Israel Mwenda.

FOUNTAIN GATE FC : Seleman Mwalim , Salum Kihimbwa , William Edgar ,  Patrick Lembo Pamoja Na Selemani Bakari.

TABORA UNITED : Yacouba Songne , Heretier Makambo , Offen Chikola , Nelson Mganga Pamoja Na Abdallah Sesseme

TANZANIA PRISONS : Oscar Mwajanga , Ali Msengi Amoja Na Kelvin Sengati

Lakini Pia Usajili Wa Wachezaji Timu Za Caf Champions League Pamoja Na Afcon, Vile Vile Nembo Na Jezi Za Timu Zote Za Msimu Huu Wa 2025 Na Mengine Mengi Zaidi, Mchezo Mzuri Haujawahi Kuwa Mzuri Sana!