Search This Blog

Sunday, July 14, 2024

JINSI YA KUDOWNLOAD FTS 2025 NBC MOD USAJILI MPYA! 2025

FTS 2025 LIGI KUU NBC TANZANIA BARA MOD Inakuweka Moyoni Mwa Shughuli Ikiwa Na Mwonekano Mpya Na Vipengele Vipya Kabisa Katika Msimu Huu Mpya Wa 2025, Furahia Uwepo Wa Timu Za Tanzania Na Afrika Na Uende Katika Mashindano Dhidi Ya Ligi Mbalimbali Kama Vile Ligi Kuu Ya Nbc Tanzania Bara, Kombe La Fa Shirikisho Tanzania, Kombe La Shirikisho Afrika, Ligi Ya Mabingwa Afrika Pamoja Na Ligi Ya Afrika (Afcon) Msimu Huu Wa 2025 Lakini Pia Utacheza Mechi Za Kirafiki! Ukitumia Timu Yako Pendwa Au Ulioichagua, Furahia Kucheza Ukihusisha Timu Ama Ligi Za Tanzania Na Africa Pamoja Na Timu Ya Taifa (Taifa Stars) Huku Ukifurahia Miondoko Ya Wachezaji, Usajili Mpya Wa Wachezaji Katika Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu Huu Wa 2025 Lakini Pia Caf Champions Pamoja Na Afcon, Vile Vile Nembo Na Jezi Za Timu Zote Za Msimu Huu Wa 2025 Na Mengine Mengi Zaidi, Mchezo Mzuri Haujawahi Kuwa Mzuri Sana!