Search This Blog

Saturday, June 10, 2023

DOWNLOAD FTS 2023 LIGI KUU NBC TANZANIA BARA MOD APK OBB NA DATA

LINK YA KUPAKUA HII GAME

FTS 2023 LIGI KUU NBC TANZANIA BARA MOD inakuweka moyoni mwa shughuli ikiwa na mwonekano mpya na vipengele vipya kabisa katika msimu huu mpyaa! furahia uwepo wa timu za Tanzania na Afrika na uende uwanjani dhidi ya ligi mbalimbali kama vile Ligi Kuu Ya NBC Tanzania Bara, Kombe La FA shirikisho Tanzania, Kombe la shirikisho Afrika, Ligi Ya Mabingwa Afrika pamoja na Ligi Ya Afrika (Afcon) lakini pia mechi za kirafiki! Ukitumia timu yako pendwa au ulioichagua, furahia kucheza ukihusisha timu ama ligi za nyumbani pamoja na timu ya Taifa (Taifa Stars) huku ukifurahia miondoko ya wachezaji, usajili wa wachezaji katika ligi kuu Tanzania bara msimu huu wa 2023/2024, vile vile nembo na jezi za timu zote za msimu huu wa 2023/2024 na mengine mengi zaidi, Mchezo mzuri haujawahi kuwa mzuri sana!