Search This Blog

Tuesday, July 6, 2021

FTS22 VPL MOD | GAME YA LIGI KUU BARA | 2022.

 FTS22 VPL MOD ni game inayocheza katika simu ya mkononi kuanzia RamGB1 na Storage au nafasi ya kutosha katika simu yako.

Ukiwa na hii game utacheza ligi mbalimbali ukiwa na timu za Tanzania, kucheza LIGI KUU BARA pamoja na ASFC pia kuna uwepo wa timu za AFRICA, kucheza CAF CHAMPIONS hivyo basi ni game bora kwa simu za mkononi.


LINK YA KUPAKUA HII GAME

mediafire.com/file/FTS 22 VPL MOD.

Pia kupitia channel yangu ya youtube unaweza kujifunza mambo mbalimbali yatakayo kusumbua kwa kutazama video zifuatavyo...kumbuka kusubscribe | kulike video | pia kushare kwa rafiki na jamaa.

MAWASILIANO
No: 0767104107

JINSI YA KUDOWNLOAD NA KUSETI GAME YA FTS22 VPL MOD.

MWONEKANO PAMOJA NA JINSI YA KUCHEZA GAME YA FTS22 VPL MOD.

JIFUNZE KUSOLVE TATIZO LA "ADDITIONAL CONTENT" KATIKA GAME YA FTS22 VPL MOD.