DLS22 YANGA SC MOD ni game inayocheza katika simu ya mkononi kuanzia RamGB1 na Storage au nafasi ya kutosha katika simu yako pia kuanzia version ya simu 6.13.
Ukiwa na hii game utacheza ligi mbalimbali ukiwa na timu ya YANGA SC, Utacheza ligi mbalimbali katika hii game na timu zote ni zile za ulaya.
LINK YA KUPAKUA HII GAME
www.mediafire.com/file/DLS YANGA SC MOD
Pia kupitia channel yangu ya youtube unaweza kujifunza mambo mbalimbali yatakayo kusumbua kwa kutazama video zifuatavyo...kumbuka kusubscribe | kulike video | pia kushare kwa rafiki na jamaa.
MAWASILIANO
whatsap link: wa.me/message/5LASMUVEB5VYJ1
Email: maxedw10@gmail.com