Search This Blog

Thursday, May 27, 2021

PAKUA DLS21 YANGA SC MOD | Pakua Dream League Soccer Yanga Sc Mod.

 

DLS21 YANGA AFRICAN SPORTS CLUB MOD ni game ya Dream League Soccer ambayo nimeimod kua na klabu ya YANGA SC ambayo ndio itakua klabu yako katika hii game.

Hii ni new update ambayo nimeitoa hivi sasa ili uendelee kuenjoy game kali kutoka african gaming pro, kwa ufupi hii ni moja ya game ambayo iko poa na imetulia sana kwa kucheza katika simu yako ya mkononi.

Pia hii game maudhui yake yote ni YANGA SC kuanzia picha na muundo ki ujumla ivyo basi game hii ni spesho zaidi kwa wananchi au mashabiki pamoja na wanachama pia na kwa wengine watakao penda.

Game hii nimeshare nawe kupitia link nyepesi sana ya mediafire ambayo ipo hapa chini kabisa, kua makini kuangalia maelekezo katika video yangu ya youtube ambayo pia ipo apa chini, utakapo tembelea hii video kumbuka kusubscribe, kushare kwa wanayanga wengine waliokosa game hii kali.


Pia game hii ipo na jezi zote za klabu ya yanga sc, pamoja na wachezaji wote wa yanga african sports club hivyo basi naimani utafurahia game hii pia utashare kwa marafiki waweze furahia timu kubwa africa wakiwa na game hii kali sana.

PATA LINK YA KUPAKUA HII GAME HAPA

https://bit.ly/3yF7ldl

Game hii pia ipo na ulinzi wa Pin/Password ambayo maelezo yake yote yapo kwenye hii video ya youtube hivyo basi ni muhimu kuitembelea na kuiskiliza kwa umakini.

Kwa maelezo zaidi tazama hii video uweze kujua jinsi ya kudownload na kuseti game yako kirahisi sana.

Video

https://youtu.be/c3Dmb-nW94g

Thanks/