Hlw AFRICAN GAMING PRO fans,Naimani niwazima wa afya kabisa ivo basi leo nimekuleteeni game ya Dream League Soccer ilokua modded na timu ya yanga(YOUNG AFRICANS CLUB).
DEVELOPERS=FIRST TOUCH
GAME SIZE=350MB
GAME MODE BY=AFRICAN GAMING PRO
MAHITAJI=SIMU RAM GB1 VERSION 6:13
VITU VILIVYOMO KWENYE GAME YAKO
1.JEZI ZA TIMU YA YANGA 2019/2020
2.TIMU IMARA UTAKAYO ITUMIA
3.THEME YA NJANO NA KIJANI KATIKA GAME.
Kiujumla ni game kali sana kwa mashabiki na supporters wa timu ya wananchi ya yanga.
PATA GAME HII HAPA.
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://bit.ly/3yF7ldl
PIA WAWEZA KUJIFUNZA KUSETI GAME LAKO KUPITIA YOUYUBE LINK
https://bit.ly/35Kyoru
Friday, May 22, 2020
PAKUA GAME YA DREAM LEAGUE SOCCER YANGA FC MOD KATIKA SIMU YAKO YA MKONONI.
DLS AFRICAN TEAMS MOD.