Kwanza kabisa mdau wa african gaming pro game hili limetengenezwa kwa usaidizi wa company mbili ambazo ni Mr game tz og ambaye ni mtengenezaji wa jezi za timu za bongo pamoja na african gaming pro ambaye ndiye aliye mod hili game la FTS20.
Hivyo basi leo hii nimekuwekea maelezo kuhusu hili game ambapo utapata maelekezo jinsi ya kudownload, kuseti pamoja na kucheza.
NDANI YA GAME LAKO UNAWEZA FANYA MAMBO YAFUATAYO.
1.Unaweza Cheza ligi kuu bara.
2.Unaweza cheza manager mode.
3.unaweza cheza ligi ya mabingwa CAF Champions
4.Pia unaweza chezesha timu ya Taifa (Taifa Stars) katika Afcon, Qatar2022.
5.Pia utacheza mechi za kirafiki
NIMEKUANDALIA MAELEZO YA VIDEO ILI KUSUDI UELEWE ZAIDI.
https://bit.ly/39PRxtl
PATA LINK YA GAME HAPA
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Jinsi ya kudownload game lako utafungua hio link apo juu ilo andikwa african gaming pro na kuidownload baada ya hapo angalia maelezo ya kuseti game lako kupitia link
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://bit.ly/39PRxtl
Usisahau kusubscribe channel yangu ili kusudi uwe wa kwanza kupata game lifuatalo ambalo litatangazwa kwa kiswahili pia UNAWEZA TUMIA GAME LAKO LA FTS20 KUPATA PESA KWA KUCHEZA ONLINE LIGI CHALLENGE NICHEKI 0767104107 KWA MAELEZO ZAIDI.