Search This Blog

Monday, March 27, 2023

DOWNLOAD FTS 2023 LIGI KUU TANZANIA BARA MOD APK OBB NA DATA KATIKA SIMU YAKO YA MKONONI

 

FTS 2023 LIGI KUU TANZANIA BARA MOD inakuweka moyoni mwa shughuli ikiwa na mwonekano mpya na vipengele vipya kabisa! furahia uwepo wa timu za Tanzania na Afrika na uende uwanjani dhidi ya ligi mbalimbali kama Ligi Kuu Tanzania Bara, Kombe La FA, Ligi Ya Mabingwa Afrika pamoja na Ligi Ya Afrika (Afcon) lakini pia mechi za kirafiki! furahia kucheza ukihusisha timu ama ligi za nyumbani pamoja na timu ya Taifa (Taifa Stars) huku ukifurahia miondoko ya wachezaji, usajili wa wachezaji katika ligi kuu Tanzania bara msimu huu wa 2023/2024, vile vile nembo na jezi za timu zote za msimu huu wa 2023/2024 na mengine mengi zaidi. Mchezo mzuri haujawahi kuwa mzuri sana!

PAKUA GAME KUPITIA HII LINK